TOPIC
Jifunze kiswahili
Habari wapendwa karibu kwenye darasa langu pendwa la kujifunza kiswahili mimi ni mwalimu kutoka tanzania naongea kiswahili kama lugha yangu ya taifa napenda na pia kama lugha mama napenda kufundisha watu wa mataifa mballimbali .mabibi kwa mabwana napenda kuwasaidia kujua lugha yangu hii pendwa ya kiswahili kutoka Tanzania.darasa langu ni darasa huru lenye amani na furaha kubwa nipende kuwakaribisha kuweza kujifunza misamiati ya kiswahili pamoja na fasihi zake darasa ni zuri sana.karibuni nyotee wapendwa wangu asanteni