Crelia I would like to teach you kiswahili language hopefull am good in it.kiswahili ni lugha rahisi sana kujifunza naweza kufundisha,lugha ya kiswahili ni nyepesi kujifunza kuanzia watoto wadogo hadi wazee wanaweza kuijua vizur na kuwa na weredi katika kuizungumza.
TOPIC
Chat with me
Karibu tujifunze lugha ya kiswahili kwa pamoja ni lugha nzuri sana
TOPIC
Chat with me
Karibu tujifunze pamoja lugha ya kiswahili Ni lugha nyepesi inaeleweka kwa urahis unaweza kuitumia katika mazungumzo na mawasiliano
TOPIC
Chat with me
Karibu tujifunze lugha nzuri ya kiswahili kwa ufasaha na urahisi zaidi Lugha ya kiswahili inaeleweka kwa urahisi sana na ni nzuri pia
TOPIC
Chat with me
Karibu tujifunze kwa pamoja lugha adhimu ya kiswahili fasaha .hopefully you will enjoy and add more language in your mind .lugha ya kiswahil n rahis sana kujifunza
TOPIC
Chat with me
Hello Karibu tujifunze pamoja lugha adhimu ya kiswahili ni lugha rahisi na inaeleweka kwa watu wa rika zote .niko vizuri nitakufundishq hadi utaweza kuzungumza
TOPIC
Chat with me
Karibu tujifunze lugha adhimu ya kuswahili fasaha kwa weredi wa hali ya juu
TOPIC
Chat with me
Karibu tujifunze lugha ya kiswahili fasaha kwa pamoja.ni rahisi sana kujifunza ndani ya muda mfupi tu