Habari!! za muda huu vipenzi.. Mwalimu Nafisa - Fundisha Kiswahili kwa Njia Rahisi ❤️📚 Nafundisha Kiswahili kwa wanaoanza hadi wataalamu. Tunajifunza sarufi, mazungumzo, misamiati na utamaduni wa Tanzania. Masomo ni ya kibinafsi kupitia chat. Muda wowote unaufaa wewe. Napatikana kwa wanafunzi kutoka nchi yoyote duniani 🌍 Nina subira. Chat na mimi tuanze kujifunza Kiswahili leo! Karibu sana.